Sunday, May 1, 2011

Chakula Bora!

Mama Mbwago Catering services ni kampuni inayotoa huduma ya chakula kwa ajili ya shughuli za Harusi, Semina, Oda maalumu kwa mkataba, Misiba na kadhalika!

Kwa sasa tuna makataba na MSD, na  wafanyakazi wa  Wentworth Resouces Limited Mtwara.


Kwa maelezo zaidi wasiliana na Mmiliki,

Stella N. Mbwago
+255 717 132 537

No comments:

Post a Comment